Welcome to our book review site go-pdf.online!

You may have to Search all our reviewed books and magazines, click the sign up button below to create a free account.

Sign up

BERINDA
  • Language: en
  • Pages: 21

BERINDA

  • Type: Book
  • -
  • Published: 2013-03-25
  • -
  • Publisher: Lulu.com

BERINDA ni hadithi yenye kisa cha kweli ambacho kilimpata msichana aitwaye Berinda. Berinda anakumbana na masahibu mbalimbali ya kimapenzi. Je ni masahibu gani? Berinda anafanya nini kukabiliana na masahibu hayo?

NASEMA KISWAHILI: KISWAHILI FOR FOREIGNERS'
  • Language: en
  • Pages: 128

NASEMA KISWAHILI: KISWAHILI FOR FOREIGNERS'

  • Type: Book
  • -
  • Published: Unknown
  • -
  • Publisher: Lulu.com

None

Nasema Kiswahili-1: Beginner's Book
  • Language: en
  • Pages: 83

Nasema Kiswahili-1: Beginner's Book

  • Type: Book
  • -
  • Published: Unknown
  • -
  • Publisher: Lulu.com

None

RASTA
  • Language: en
  • Pages: 67

RASTA

  • Type: Book
  • -
  • Published: 2013-03-15
  • -
  • Publisher: Lulu.com

Drama hii ya Rasta inamhusu msichana ambaye alipata ajali ya pikipiki na kupata ulemavu wa maisha. Rasta kutokana na ulemavu huo analazimika kutumia kiti mwendo kwa ajili ya kutembelea. Familia ya Rasta na majirani ni watu wenye upendo wa hali ya juu na mfano wa kuigwa. Vivyo hivyo shuleni, kuna baadhi ya wanafunzi wana mitazamo hasi juu ya Rasta lakini walimu wanasaidia kufuta mitazamo hiyo hasi; na hatimaye kuwa na mitazamo chanya kuhusu ulemavu na watu wenye ulemavu. Mbali na suala la ulemavu kusguhulikiwa katika drama hii, pia suala la rushwa linaangazwa huku likiacha majeraha makubwa sana kwa wananchi walalahoi ambao 'mkono mtupu haulabwi'. Ungana na mtunzi wako ili ujue yaliyomo ndani ya tamthiliya hii.

Nasema Kiswahili-2: Swahili for Intermediate Level
  • Language: en
  • Pages: 79

Nasema Kiswahili-2: Swahili for Intermediate Level

  • Type: Book
  • -
  • Published: Unknown
  • -
  • Publisher: Lulu.com

None

nasema Kiswahili ngazi ya kwanza, pili& tatu:Kiswahili for beginners, intermediate & advanced
  • Language: en
  • Pages: 228
Common mistakes in Swahili
  • Language: sw

Common mistakes in Swahili

Common Mistakes in Swahili is a grammar book specifically for second language users. It gives you the a, b, c, d's of Swahili language. It goes further by explaining grammatical stuffs that are important in learning Swahili language. It gives common mistakes made by second language learners alongside correct usage. This is due to common mistakes made when learning or using Swahili as a second language. This book will help you to identify those mistakes and learn how to avoid them. The book will help you to be native speaker of this language. Enjoy your study!

A Companion to African Literatures
  • Language: en
  • Pages: 512

A Companion to African Literatures

Rediscover the diversity of modern African literatures with this authoritative resource edited by a leader in the field How have African literatures unfolded in their rich diversity in our modern era of decolonization, nationalisms, and extensive transnational movement of peoples? How have African writers engaged urgent questions regarding race, nation, ethnicity, gender, and sexuality? And how do African literary genres interrelate with traditional oral forms or audio-visual and digital media? A Companion to African Literatures addresses these issues and many more. Consisting of essays by distinguished scholars and emerging leaders in the field, this book offers rigorous, deeply engaging di...

Bongo Star Search & Tusker Project Fame: PENDEKEZO
  • Language: en
  • Pages: 33

Bongo Star Search & Tusker Project Fame: PENDEKEZO

  • Type: Book
  • -
  • Published: 2013-03-15
  • -
  • Publisher: Lulu.com

BONGO STAR SEARCH & TUSKER PROJECT FAME ni kitabu kinachochambua mashindano ya kusaka vipaji vya wasanii chipukizi. Mashindano haya yako Tanzania na katika nchi zingine za Afrika Mashariki. Kitabu hiki kinapendekeza namna bora ya kuwapata washindi na kuondokana na ushindi upatikanao kwa wingi wa kura za mashabiki. Masindano haya ni ya muhimu sana na yanapaswa kuungwa mkono kwa kuwa, yanasaidia kutengeneza ajira za vijana wanaopenda kujiunga na sanaa ya muziki.

BONGO STAR SEARCH & TUSKER PROJECT FAME
  • Language: sw
  • Pages: 52

BONGO STAR SEARCH & TUSKER PROJECT FAME

  • Type: Book
  • -
  • Published: Unknown
  • -
  • Publisher: Lulu.com

None