Welcome to our book review site go-pdf.online!

You may have to Search all our reviewed books and magazines, click the sign up button below to create a free account.

Sign up

Zawadi ya Ushindi
  • Language: en
  • Pages: 82

Zawadi ya Ushindi

Idd Amini, kiongozi dhalimu kutoka nchi ya Uganda, alipoiteka sehemu ya nchi ya Tanzania na kuangamiza mamia ya watu wasiokuwa na hatia, serikali ya Tanzania iliamua kumkomesha kabla hajatekeleza maafa zaidi. Iliwatuma vijana wake wakapambane naye ili kusalimisha nchi yao. Sikamona akiwa kijana barubaru aliukubali mwito wa serikali na kuingia vitani kukabiliana na Idd Amin na kikosi chake. Maisha ya Sikamona yalibadilika kabisa baada ya vita hivi. Hata ingawa walifaulu kumkomesha Idd Amin, Sikamona alibaki na makovu mengi yaliyoiharibu sura yake asijione kastahili kuitwa binadamu tena. Ni yapi yatakayotokea watakapokutana na Rusia? Atapewa Zawadi ya Ushindi?

Dar Es Salaam by Night
  • Language: en
  • Pages: 198

Dar Es Salaam by Night

  • Type: Book
  • -
  • Published: 1999
  • -
  • Publisher: Unknown

None

Mtambo wa mauti
  • Language: sw
  • Pages: 200

Mtambo wa mauti

  • Type: Book
  • -
  • Published: 2010
  • -
  • Publisher: Unknown

None

Tutarudi na Roho Zetu?
  • Language: sw
  • Pages: 188

Tutarudi na Roho Zetu?

Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake. Inspekta Kombora nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini mashujaa wengi lakini anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo la kusikitisha ni kwamba sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye anatembea kutoka jiji hadi jiji akiwa na yule msichana mzuri Nuru. Juhudi za Kombora kumsihi hazifui dafu. Badala yake Joram anafanya maajabu mengine ambayo yanalichafua jina lake hapa nchini na kote duniani. Wakati huo siku ambayo utawala huo umeweka ili kuachia pigo lao la mwisho inazidi kukaribia. Sasa yamesalia masaa...

Mtambo wa Mauti
  • Language: sw
  • Pages: 202

Mtambo wa Mauti

Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake. Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anapotokea, tena katika kila maficho ya Joram Kiango. Kila anapotokea maisha ya watu wengi wasiokuwa na hatia yanaangamia. Mona Lisa ni binadamu wa kweli? Ni jini au ni malaika? Ni miongoni mwa maswali ambayo nusura yamtie wazimu Joram Kiango, jeshi zima na vikosi vyote vya usalama. Ungana naye Joram kutatua kizungumkuti hiki kiso mwisho.

Nyuma ya Mapazia
  • Language: sw
  • Pages: 136

Nyuma ya Mapazia

Tanzania iliingia katika uchaguzi mkuu ulioshirikisha vyama vingi kwa mara ya kwanza mwaka wa 1995. Kampeni kubwa za kitaifa na kimataifa zilifanyika hadharani na sirini. Yako mengi yaliyokuwa yakiendelea Nyuma ya Mapazia. Mengi ya kutisha na kuogofya, na ambayo yaliambatana na matumizi makubwa ya pesa, mauaji ya kikatili na ujambazi usio na kifani. Joram Kiango, Inspekta Kombora na kikosi kizima cha polisi wanagonga mwamba katika harakati zao za kutatua kizungumkuti hicho. Kutokweka kwa King Halfan King na maiti ya mpenziwe kupatikana ikielea ufukweni wa Bahari ya Hindi kunazidisha maswali mengi bila majibu. Hata hivyo, kizungumkuti hiki kitatatuliwa?

Readings in African Popular Fiction
  • Language: en
  • Pages: 226

Readings in African Popular Fiction

"... a useful introduction to an important field of African creative writing that has been invisible for the most part in North America and Europe." --Eileen Julien Readings in African Popular Fiction explores the social, political, and economic contexts of popular narratives by bringing together new and classic essays by important scholars in African literature and eight primary texts. Excerpts from popular magazines, cartoons, novellas, and moral and instructional pamphlets present African popular fiction from all areas of the continent. Selections include essays on Hausa creative writing, the influence of Indian film in Nigeria, Onitsha market literature, writing and popular culture in Ca...

Give Me Money
  • Language: en
  • Pages: 134

Give Me Money

None

Zero Hour
  • Language: en
  • Pages: 144

Zero Hour

None

The God's Daughter
  • Language: en
  • Pages: 205

The God's Daughter

Jackie Vance and her daughter Ama visit Ghana at the invitation of Mae Brown, an anthropology professor on sabbatical at the University of Cape Coast Ghana. While touring the female slave quarters at Elmina Castle, the largest castle in Africa built by the Portuguese in 1482, Jackie, channeling an Ashanti princess who was captured during the British-Ashanti war, goes into a reverie about the horrifying experiences of the women who lived there several hundred years ago.