Welcome to our book review site go-pdf.online!

You may have to Search all our reviewed books and magazines, click the sign up button below to create a free account.

Sign up

Majaribio ya Imani (Tempting Faith)
  • Language: en
  • Pages: 186

Majaribio ya Imani (Tempting Faith)

Mwandishi wa habari za burudani Faith (Fortunata) Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuharibia umaarufu wake mkubwa msanii nyota Zander Baron. Nyota mpya kabisa anaechipukia kwa kasi wa filamu za ngumi waHollywood Zander ana kila sifa ambazo mwanaume yeyote angependa kuwa nazo – na mwanamke anazovutiwa nazo. Mtanashati, ana akili, huruma na mcheshi. Zander ana hewa ya ajabu ambayo inamfanya alete mshawasha wa kutaka kumjua zaidi. Hakuna mtu anayejua ukweli kuhusu asili na pengine hata jina lake halisi. Isipokuwa Fortunata. Fortunata anajua kila kitu kuhusu mwanaume huyu aitwaye Zander Baron, kwa sababu alishawahi kuwa na...

Haikuwa Sahihi... (Not Quite Right)
  • Language: en
  • Pages: 223

Haikuwa Sahihi... (Not Quite Right)

Askari Steed McGraw anavutiwa na msichana mrembo mtangazaji wa kituo cha televisheni cha Network TV Darce Clarke wakati anaingia kwenye ofisi yake ya kifahari ili kutoa taarifa ya kifo cha rafiki yake kipenzi, Kenneth Wawick. Lakini ghafla mvuto huo unabadilika na kuwa karaha pale anapokataa kukubali ukweli kwamba kifo cha rafiki yake kipenzi kilitokana na kujiua mwenyewe. Baada ya kuishi kwa miaka mingi na machungu ya maswali yasiyojibiwa baada ya baba yake ambaye alikuwa askari kupoteza maisha akiwa kazini, Steed anafanya kila awezalo ili Darce apate hisia za machungu aliyoishi nayo kwa miaka yote katika maisha yake. Lakini akijua kwamba kuna kitu ambacho hakiko sawa kuhusu kujiua kwake, Darce anakataa kukata tamaa mpaka pale atakapoupata ukweli, uchunguzi thabiti unaoishia kwa kesi mbili kwa mpigo bila kutegemewa.

Visa vya Oliver Twist
  • Language: en
  • Pages: 128

Visa vya Oliver Twist

A Kiswahili translation of Charles Dicken’s classic, Oliver Twist.

Safari za Gulliver
  • Language: en
  • Pages: 144

Safari za Gulliver

A Kiswahili translation of the classic Gulliver's Travels.

Robinson Crusoe Kisiwani
  • Language: en
  • Pages: 112

Robinson Crusoe Kisiwani

A Kiswahili translation of the classic tale Robinson Crusoe.

Matarajio Adimu (Great Expectations)
  • Language: en
  • Pages: 392

Matarajio Adimu (Great Expectations)

Matarajio Adhimu ni kitabu cha riwaya za Charles Dickens. Riwaya ambazo kwa mara ya kwanza zilichapishwa kwa mfululizo kwa mwaka mzima kuanzia tarehe 1 Desemba 1860 hadi mwezi Agusti 1861. Riwaya ambazo zimeweza kuigizwa na kuchezwa filamu zaidi ya mara 250. Matarajio Adhimu, kimeandikwa kwa nafsi ya kwanza kuhusu mtoto yatima aitwaye Pip. Kitabu hiki, kama zilivyo riwaya za Dickens, kinaelezea uzoefu wa maisha alisia na watu nyakati hizo.

Mabepari wa Venisi (The Merchant of Venice)
  • Language: en
  • Pages: 136

Mabepari wa Venisi (The Merchant of Venice)

A Kiswahili translation of The Merchant of Venice. The Merchant of Venice is the story of Antonio and his friend Bassanio. Bassanio is in need of money so that he may woo Portia, a wealthy heiress. He asks Antonio for a loan, and Antonio agrees, even though all his money is tied up in shipping ventures. Together they go to Shylock, a moneylender, to request a long against Antonio's shipping ventures. Shylock agrees to the loan at no interest on the condition that if the debt is not repaid Shylock may collect a pound of Antonio's flesh.

Jamaa Hodari Kisiwani (The Swiss Family Robinson)
  • Language: en
  • Pages: 136

Jamaa Hodari Kisiwani (The Swiss Family Robinson)

A Kiswahili translation of The Swiss Family Robinson. Swept off course by a raging storm, a Swiss pastor, his wife, and their four young sons are shipwrecked on an uncharted tropical island. Thus begins the classic story of survival and adventure that has fired the imaginations of readers since it first appeared in 1812. With optimism and boundless enthusiasm, the Robinson family undertakes the extraordinary task of constructing a home and exploring the island, which is filled with strange and beautiful creatures and exotic fruits and plants.

Juliasi Kaizari (Julius Caesar)
  • Language: en
  • Pages: 83

Juliasi Kaizari (Julius Caesar)

A Kiswahili translation of Julius Caesar. William Shakespeare's Julius Caesar is the first of his three Roman history plays. Closely based on actual events chronicled in Plutarch's Lives, this play is the story of the tragic downfall of Caesar and those who conspired against him. Many of Shakespeare's most memorable lines are found here, in what is considered by some to be the greatest tragedy ever written.

Performing the Nation
  • Language: en
  • Pages: 448

Performing the Nation

  • Categories: Art

Since its founding in 1964, the United Republic of Tanzania has used music, dance, and other cultural productions as ways of imagining and legitimizing the new nation. Focusing on the politics surrounding Swahili musical performance, Kelly Askew demonstrates the crucial role of popular culture in Tanzania's colonial and postcolonial history. As Askew shows, the genres of ngoma (traditional dance), dansi (urban jazz), and taarab (sung Swahili poetry) have played prominent parts in official articulations of "Tanzanian National Culture" over the years. Drawing on over a decade of research, including extensive experience as a taarab and dansi performer, Askew explores the intimate relations among musical practice, political ideology, and economic change. She reveals the processes and agents involved in the creation of Tanzania's national culture, from government elites to local musicians, poets, wedding participants, and traffic police. Throughout, Askew focuses on performance itself—musical and otherwise—as key to understanding both nation-building and interpersonal power dynamics.