You may have to Search all our reviewed books and magazines, click the sign up button below to create a free account.
A book of children's stories, poems, tongue-twisters, proverbs, and brain-teasers from Africa by Sr. Stella Sabina, an author from Uganda who studied in Kenya and now lives and works in Indiana, USA.
This is Lufrika, a place of gold! Here we walk on silver dust and our streets are paved with adorable precious ornaments, a place so endowed with unparalleled stunning weather, and numerous beguiling touristic scenes. The people are very friendly and wonderful. She is a citadel of beauty and riches. But guess what? The children of Lufrika have been subjected to abject poverty, perpetual ugliness and untold slovenliness. The people wallow and grope in the darkness of hopelessness and pain, the pang of corruption, the adversity of illiteracy, and all manner of endemic afflictions. For so long, Lufrika has suffered alarming political instability, all the while craving for a messiah, who will break away the claws of this evil but to no avail. Then a mother arises in Lufrika, a leader par excellence, a woman of courage, character and power, blended in the right proportions with passion. She altruistically administers relief throughout the entire land, and brings hope to many. She brings beauty and laughter . . . she is a lioness.
Katika kitabu hiki, mwandishi anamwonyesha muamini funguo kuu ya kupokea upenyo wa kiroho, kimwili, kiuchumi na kimali!
Kwani mimi binafsi nimepata furaha na raha katika uhuru kutoka kwa miaka saba ya magonjwa na maumivu, ili niwe mtumishi mwenye uwezo anayefanana na Bwana, nilifunga na kuomba kwa siku na nyakati kadha baada ya kuitwa ili niwe mtumishi wa Bwana. Yesu anatuambia katika Marko 9:23, “‘Ukiweza?’ Yote yawezekana kwake aaminiye.” Pia niliamini na kuomba kwa sababu nilishikilia ahadi ya Yesu, “[Yeye] aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba” (Yohana 14:12). Kwa kupitia Mikutano ya Uvuvio ya kila mwaka, Mungu ametuonyesha ishara na maajabu ya kushangaza na ametupa uponyaji na majibu yasiyoweza kuhesabika. Zaidi ya hayo, wakati wa wiki ya pili ya Mkutano wa Uvuvio wa mwaka wa 2013, Mungu aliweka msisitizo wa dhihirisho la uwezo wake juu ya vipofu, viwete, viziwi na mabubu.
This book analyzes socio-religious transformation in Tanzania. Some scholars claim that religion has returned to the public domain since the collapse of Tanzanian socialism, and that there is a tension between Muslims and Christians. Based on focus group discussions in Dar es Salaam, author Thomas Joseph Ndaluka acquires insight into Muslim - Christian relations using Critical Discourse Analysis. He analyzes how Muslims and Christians identify and position themselves in relation to each other and the conditions which make them elevate their religious identity over other identities. Ndaluka reveals that some periphreal voices threaten social cohesion, but, in general, Muslims and Christians maintain friendly relations and avoid conflict. He also shows individualization or de-institutionalization as dominant trends in the country. However, educational institutions have remained strong and influence other institutions, such as the family. (Series: Interreligious Studies - Vol. 5)
Ili tuweze kupokea uponyaji wa kimsingi na tuishi maisha yenye afya, kila mmoja wetu lazima aelewe chanzo cha ugonjwa ni nini, na ni kwa jinsi gani tutapokea uponyaji. Kwa injili na kweli siku zote kuna pande mbili. Watu wasiokubali injili na kweli wamewekewa laana na adhabu, bali watu wanaokubali baraka na uzima vinawangojea. Ni mapenzi ya Mungu kwamba kweli ifichike kwa wale wanaojiona kuwa wenye hekima na akili, kama vile Mafarisayo na waalimu wa sheria. Pia ni mapenzi ya Mungu kwamba kweli ifunuliwe kwa wale ambao ni kama watoto, wanaoitamani na kufungua mioyo yao (Luka 10:21). Mungu ameahidi waziwazi baraka kwa wale wanaotii na kuishi kwa kufuata amri zake. Lakini pia amenakili kwa utondoti kuhusu laana na aina zote za magonjwa yatakayotupwa juu ya wale wasiotii amri zake (Kumbukumbu la Torati 28:1-68). Kwa kuwakumbusha Neno la Mungu watu wasioamini na hata baadhi ya waamini wanaolisahau, kazi hii inalenga kuwaweka watu kama hao katika njia ya sawa na kupata uhuru kutokana na magonjwa na maradhi.
The official records of the proceedings of the Legislative Council of the Colony and Protectorate of Kenya, the House of Representatives of the Government of Kenya and the National Assembly of the Republic of Kenya.
Kumfuata Mungu ni safari ya kusisimua ya ugunduzi. Kufuata na kuiga watu wengine ni sanaa za toka jadi za kujifunza ambazo Yesu Kristo alichagua kama kanuni yake kuu ya kufundisha watu. Badala ya kujitenga na mbinu hii ya kujifundisha ambayo imetumiwa kwa muda mrefu, ni wakati wa kuelewa uzuri na unyenyekevu uliyo katika sanaa ya kufuata. Katika kitabu hiki utagundua ni nani, ni nini na jinsi unavyopaswa kufuata kwa njia inayostahili. Kitabu hiki kipya na kizuri mno kilichoandikwa na Dag Heward-Mills kinaipatia sanaa ya kufuata nafasi yake inayofaa katika maisha yetu ya Kikristo
Riwaya ya Mungu Hakopeshwi inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii i meandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa jumla.